Joel 2:26-27

26 aMtakuwa na wingi wa vyakula mpaka mshibe,
na mtalisifu jina la Bwana Mungu wenu,
ambaye amefanya maajabu kwa ajili yenu;
kamwe watu wangu hawataaibishwa tena.
27 bNdipo mtakapojua kwamba mimi niko katika Israeli
kwamba mimi ndimi Bwana Mungu wenu,
na kwamba hakuna mwingine;
kamwe watu wangu hawataaibika tena.
Copyright information for SwhNEN